Tuesday, December 9, 2008

baada ya kuwa tyt na mambo kibao ndani ya mitaa ya bongo The LKM02 Ent.imepanga kuja kivingine ikiwa ni pamoja kuanzania online tv,inayokwenda kwa jina Jichanganye TV,pamoja na kuachia blogspot kama hivi,hii yote ni kuonesha ni jinsi gani tunataka kuwa karibi kabisa na vipaji tika mtaani na kufikisha yanayo takiwa mbele ya macho ya watazamaji.....

0 comments: